
moja ya majengo ya zamani lililopo mtaa katika makutano ya mtaa wa India na Zanaki street,likiwa katika maandalizi ya kuna nyundozz.majengo mengi ya zamani hapa mjini yanaendelea kula nyundozz ikiwa na katika muendelezo wa kupandisha vikwangua anga kila kona ya jiji.sasa sijui watatengeneza na sehemu za kuegeshea magari watakapo maliza kupandisha hilo kwangua anga lao??
No comments:
Post a Comment