ligi kuu ya uingereza (kwa bibi) inaanza rasmi leo ambapo timu hizi zionekanzo hapa bangoni ndizo zitakaanza kufungua dimba la ligi hiyo.sasa mambo ndio yameanza rasmi hivyo kina nanihii huko majumbani kwetu mtatuwia radhi kwa kuwa tutakuwa tunachelewa sana kurudi mahomu kutokana na kukaa bar kwa kuda mrefu kuangalia mpira.
No comments:
Post a Comment