hawa ndio wale kunguru wa Zenj,kunguru hawa wanasifika kwa kila sifa mbaya hapa mjini maana hawana nidhamu hata nukta.nilihawi kusikia kwamba Serikali inampango wa kuwapoteza kunguru hawa kwa kutaka kuwaondoa kabisa.sasa sijui wamefikia wapi juu ya huo uamuzi wao?kiukweli hawa kunguru wanakera sana hapa mjini kiasi kwamba mpaka unafikia wakati tunaanza kuwamiss wale kunguru wengine wenye rangi nyeupe shingoni kiukweli.

No comments:
Post a Comment