HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 13, 2009

Kitangoma Latinga Kitaani!!

Jarida lako la burudani,Kitangoma Magazine liko mitaani sasa,likiwa limesheheni mambo kibao yatakayokuvutia na kukufurahisha kimtindo na kubwa zaidi kukuelimisha kuhusu wasanii wetu wa hapa nyumbani na mamtoni kiduuchu,yote hiyo ni kukupa ladha ama mchanyato wa kutosha wewe msomaji na mambo mengine teeele.Linapatikana kwa buku 3000/= tu !

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad