maana inaonekana alivyoona maji tu akafikiri yuko baharini na akaamua kulizamisha gari bila kujua kuwa huo ni mtaro tu.cheki wananchi walivyoizunguka gari hiyo,maana hawaamini kitu wanachokiona.picha na Sumo Blog.
Hii kali maana uwezi kuamini dereva mlevi au
ReplyDeletekwa daladala drivers wa Dar es salaam hata sishangai. Wako very rough.
ReplyDeletemama M