
gari aina ya Toyota (pikup) al maarufu kwa jina la Chai maharage zinatumika kama gari za abiria (kama daladala vile huku kwetu),bado zinaendelea kutesa huko visiwani zenj kama ilivyokutwa hii katika moja ya mitaa huko Zenj ikiwa katika libeneke lake la kusanya abiria.
No comments:
Post a Comment