HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 14, 2009

BREKING NYUZZZZZZZZZZZ:MADEREVA WA MABASI WAGOMA KUSAFIRISHA ABIRIA LEO


HABARI ZILIZOINGIA HIVI PUNDE KUTOKA STENDI KUU YA MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NCHI JIRANI,UBUNGO BUS TERMINAL.ZINADATISHA KWAMBA MADEREVA WOTE WA MAGARI HAYO WAMEGOMA KABISA KUSAFIRISHA ABIRIA KWA SIKU YA LEO KUTOKANA NA KILE WANACHODAI KUWA ADHABU ALIYOPEWA DEREVA MWENZAO WA BASI LA MOHAMMED TRANS YA KIFUNGO CHA MIAKA 30 JELA HAIKUWA YA HALALI KABISA.DEREVA HUYO ALIPEWA ADHABU HIYO BAADA YA KUSABABISHA AJARI MBAYA SANA SIKU KADHAA ZILIZOPITA HUKO KOROGWE,MKOANI TANGA AKIWA NJIANI KUJA DAR AKITOKEA JIJINI MWANZA.ADHABU HIYO ILITOLEWA IKIWA NI FUNDISHO KWA MADEREVA WENGINE.HABARI KAMILI ITAWAJIA MUDA SI MREFU,HIVYO TUWE SUBIRA KIDOGO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad