HABARI ZILIZOINGIA HIVI PUNDE TOKA PANDE ZA KIPAWA,ZINADATISHA KWAMBA KIWANDA CHA KUTENGEZA MAFUTA YA KULA KILICHOPO MAENEO YA KIPAWA (KARIBU NA UWANJA WA NDEGE WA J.K. NYERERE),KINATEKETEA KWA MOTO.MOTO HUO AMBAO INASEMEKANA UMEANZA KUWAKA KUANZIA SAA KUMI JIONI HII NA KUANZA KUSAMBAA KATIKA MAENEO MBALI MBALI YA KIWANDA HICHO,CHANZO CHA MOTO HUO BADO HAKIJAFAHAMIKA MPAKA SASA NA JUHUDI ZA KUZIMA MOTO HUO ZINAENDELEA TOKA KIKOSI CHA KUZIMA MOTO CHA FAYA.TUTAENDELEA KUJUZANA ZAIDI BAADAE KIDOGO.
Sunday, August 16, 2009

Home
Unlabelled
KIWANDA CHA KUTENGEZA MAFUTA YA KUPIKIA CHAWAKA MOTO
KIWANDA CHA KUTENGEZA MAFUTA YA KUPIKIA CHAWAKA MOTO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment