HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, August 2, 2009

Barabara Ya Mandela Road

kuelekea maeneoa ya Extenel,Mabibo
Maeneo ya Tabata Relini,jirani kabisa na zilipo ofisi za kampuni ya uchapishaji magazeti ya Mwananchi,Mwanaspoti na mengineyo.
ujenzi ukiendelea katika barabara ya Mandela Road.

pinizz kama kawa,hapa ni maeneo ya Ubungo Riverside.hili pinizz ni kutokana na uongozaji wa kagari katika makutano ya barabara ya Mandera,Morogoro road na ile ya Sam Nujoma Road ya kuelekea mwenge.hii ni wikiendi ngoma iko hivi na siku za kazi ndio usipime maana ngoma huwaga inaanziaga njia panda mabibo hostel.yaani hadi raha

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad