
haya mafoleni hapa mjini yanataka uwe na usafiri kama huu,maana kukaa kwenye foleni masaa kadhaa mpaka unasahau uendako hapa ndio itakuwa mwisho wake,hivyo leo ilinibidi nimzukie msela wangu Chaoga Mwana Wa Tonge ili niweze jipatia kausafiri ka kuzurulia hapa mjini ikiwa ni katika kufanikisha libeneke la MTAA KWA MTAA,Chaoga leo kashusha mali mpya kabisa hivyo na wewe kama umechoshwa na mafoleni ya magari kama mimi basi unaweza mtwangia tu kwenye kilongalonga chake kwa kutumia namba hizi 0713 260 058.
No comments:
Post a Comment