hili jengo liko mtaa wa Samora avenue jirani kabisa na jengo la Samora House zilipokuwa ofisi za TRA zamani,nalo limeanza kula nyundo kwa ajili ya kupisha majengo ya kisasa a.k.a vikwangua anga.
No comments:
Post a Comment