MELI YA MIZIGO YA 'MV PEMBA' AMBAYO IMESHIKA MOTO MUDA MCHACHE ULIOPITA KATIKA BANDARI YA JIJI DAR. MELI HIYO ILIANZA KUSHIKA MOTO WAKATI MABAHARIA WAPATAO 20 WA MELI HIYO WAKIWA KATIKA KUIFANYIA MATENGENEZO YA KAWAIDA YA MELI HIYO KABLA YA KUANZA SAFARI ZAKE ZA ZANZIBAR NA PEMBA IKIWA NA SHEHENA YA VYAKULA, MAFUTA NA VITU VINGINE. HAKUNA MTU ALIYEPATWA NA MADHARA KATIKA AJALI HIYO.
Tuesday, July 28, 2009

Home
Unlabelled
MELI YAWAKA MOTO BANDALINI JIJINI DAR
MELI YAWAKA MOTO BANDALINI JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment