HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 27, 2009

Mbio Za Pikipiki Katika Viwanja Vya Tanganyika Pekazz

msela akielea juu kwa juu
washkaji wakitaka kupigana bao angani kwa anganikuruka vichuguu wadau wa mchezo wa pikipiki wakiwa makini kuudekshia mchezo huo ambao kila siku za wikiendi ya jumapili hufanya mashindano katika viwanja vya Tanganyika pekazzmisele kama kawa
washiriki wa mbio hizo wakichuana vikali kwa kutaka kupata nafasi ya kwanza katika mashindano hao,ambayo huwaga yanafanyika kila siku za jumapili na kufanya kuwavutia wadau wengi wa kutoka pande mbalimbali za ndani na nje ya jiji.kiukweli mashindano haya yanatia raha sana kwa kuangalia na kushirikia pia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad