HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 28, 2009

Maegesho Ya Magari Avaron

magari mengi yakiwa yameegeshwa katika sehemu ya wazi ya kuegesha magari ilipo Avaron,hapo kila gari moja inalipia kiasi cha shilingi 300/- kwa lisaa limoja hivyo kama utapaki kutwa nzima basi utachajiwa kwa muda huo uliokaa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad