HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 25, 2009

Hawavumi Lakini Wamo

Vijana wanaoendeleza libeneke la muziki wa dansi mtaani wanaofahamika kwa jina la IFA SOUND BAND,wakiwa katika libeneke lao la kila siku katika makutano ya mtaa wa India na Agrey street jijini Dar huku watu kibao wakiwa wamewazunguka ili kupata burudani yao kutoka kwa vijana hao wa IFA SOUND BAND,vijana hao wanafahamika kwa majina yafuatayo,Selemani Makwati, Oswald Damka, Jafari Ligomba, Adam Komba, Chande Kilowile na Majuto Mdodo.hivi kile kipindi cha HAWAVUMI LAKINI WAMO kilifia wapiii??maana kile kipindi kilikuwa kinatupa raha sana hasa kwa mambo kama haya.chini ni nyomi ya watu waliokuwa wakipata burudani toka kwa IFA SOUND BAND

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad