HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 22, 2009

Fahari Ya Macho Kwa Muuza Madafu

"haki ya nani tena hapa ni lazima nichomoke na mmoja,maana kwa jinsi walivyo wazuri mtaji woote wa madafu ntaumaliza kwao"hivyo ndivyo anavyoonekana akiongea muuza madafu huyu alipokuwa akipita mbele ya warembo watakaoshiriki kinyang'anyiro cha kumsaka mlimbwende wa Ilala,walipokuwa wakipata picha ya pamoja nje ya ukumbi wa Idara ya Habari na Maelezo jana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad