HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 31, 2009

Mwanakijiji Neema Ndani Ya MTAA KWA MTAA

leo katika katiza katiza zangu za MTAA KWA MTAA,nilijikuta nikitokea maeneo ya nanihii ambapo nilibahatika kukutana na mtembeleji mkubwa wa kijiji chetu hiki na pia ni memba wa kijiji cha jirani cha FotoBaraza.Net anaefahamika kwa jina la Neema Mkwaya.kiukweliukweli nilifarijika sana kugumiana na mrembo huyu kwa siku ya leo katika maeneo yake hayo ya kujidai,kiasi kwamba sikusita kula nae konozz kwa picha ya ukumbusho kama muonavyo hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad