
wadau wenye hasira kali na wakimvisha tairi kijana mmoja ambae jina lake halikuweza fahamika kwa haraka,baada ya kudakwa pindi alipokuwa akitaka kukwapua kioo cha gari moja lililokuwa limepaki pembeni mwa jengo la Pamba House.kuviswa kwa tairi hilo sio kwamba alibebe,bali ni kwa nia ya kutaka kumpoteza kijana huyo kwa kutaka kumchoma moto.Swali ni je,hivi hili swala la wananchi kujichukulia sheria mikononi na ili hali sehemu husika za kuwapeleka zipo linapokelewaje na wahusika??
picha na
Mjengwa Blog
No comments:
Post a Comment