HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 19, 2009

Mdau Mama malaika arejea kwa bibi (uk)

mie na Denzel
hapa nikiwakilisha kukabidhi fulanazz kwa Mama Malaika yenye ujumbe wa Pamojah We Can,ambayo inatumika kama fulanazz ya kijiji cha jirani cha FotoBaraza.Net ambacho ni kijiji mama cha kijiji hiki,tulipokwenda mumsindikiza mdau mwenyenzetu huyo katika kiwanja cha ndege cha ea poti ya JK Nyerere usiku huu.
hapa toka shoto ni Shemeji yetu ambaye ndie Baba Malaika,Chaoga (mdau wa kijiji cha jirani),Mama Malaika,Mie pamoja na Malaika (alielala kwa hasira baada ya kulazimishwa kurudi kwa bibi) na mdogo wake Malaika anaekwenda kwa jina la Denzel,tulipokuwa tukiwasindikiza usiku huu,wakirudi nyumbani kwao UK.


nafasi bado zipo kibao katika kijiji hicho cha FotoBaraza.Net,kama ukitaka kujiunga bofya hapa kwa kujiunga na kama ni mdau tayari bofya hapa kwa kuingia kijijini hapo.

1 comment:

Post Bottom Ad