HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 30, 2009

KUMRADHI WANAKIJIJI

WADAU WANGU WAPENDWA MNAOTEMBELEA KIJIJI CHETU HIKI CHA MTAA KWA MTAA,NAWAOMBENI RADHI SANA TENA SANA KWA KUSHINDWA KUWALETEA YALE MAMBO YETU YANAYOJILI HUKU MITAANI KWETU KAMA VILE MNANIAGIZAGA KILA SIKU,UKIMYA WANGU HUU NI KUTOKANA NA MAMBO MENGI KUINGILIANA INGILIANA KATIKA MUENDELEZO WA KUSAKA SHILINGI YA JK.HIVYO BASI NAWAOMBENI SANA TENA SANA,KAMA KUNA YEYOTE ALIEFANIKIWA KUKATIKAZA MITAA YA KATI BASI ASISITE KUNIMUVUZISHIA MAPICHA NA MAHABARI YANAYOJILI HUKO ILI TUWEZE KULISONGESHA KAMA KAWA LIBELEKE LETU LA KILA SIKU NDANI YA KIJIJI.MNAWEZA NITUMIA KUPITIA jamiothman@gmail.com PIA KAMA UKITAKA KUTOA SALAMU,KUMTAFUTA MTU ULEPOTEZANA NAE SIKU NYINGI,KUTAFUTA WA UBANI NA KADHALIKA,BASI NAWE USISITE KUNITUMIA KUPITIA MAIL HIYO HIYO HAPO JUU.
NAOMBA KUWASILISHA WANAKIJIJI.
-OTHMAN MICHUZI A.K.A MZEE WA MTAA KWA MTAA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad