
Askari wa Jeshi la Gabon wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa aliekuwa Rais wa Gabon,marehemu Omar Bongo aliyefariki Dunia tarehe 8 Juni 2009 Nchini Hispania alikokuwa akitibiwa

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akitia saini katika kitabu cha maombolezo katika Ikulu ya Gabon iliyopo mjini Libreville kufuatia kifo cha Rais wa Nchi hiyo Marehemu Omar Bongo kilichotokea tarehe 8 Juni 2009 mjini Bacelona Hispania,alikuwa akitibiwa.Marehemu Bongo anatarajiwa kuzikwa kesho kijijini kwake Nchini Gabon.
Picha zote na Amour Nassor wa ofisi ya Makamu wa Rais
No comments:
Post a Comment