HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 20, 2009

jay dee katika gemu la kublogu

Lady Jay Dee akiwa na mai hazbendi wake Mkuu G. Habbash katika moja ya milo yao ya mchana katika kiota flani katikati ya jiji.ukitaka kukijua ni kiota gani tembelea katika wanja la mwanadada huyo.
mwanamuziki Lady Jay Dee a.k.a binti machozi nae ameamua kuungana na libeneke la kublog ambapo anapatikana katika wanja lake linalokwenda
kwa jina la
www.ladyjaydee.blogspot.com
na anawakaribisha woote kumtembelea katika wanja lake hilo ambapo utakutana na vituz mbalimbali. hongera jide kwa libeneke

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad