mitaro mingi hapa bongo iko kama uonekanavyo huu uliopo katika mtaa wa kameruni,hii ni kutokana na mvua zinaziendelea kunyesha hapa jijini,hii inatokana na mitato mingi kuziba kutokana na uchafu unapwa katika mitaro hiyo na wakazi wa maeneo husika.hivi kwa mwendo huu haya magonjwa ya milipuko yatatukosa kwelii??
Monday, April 6, 2009

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment