HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 1, 2009

kwanza jamii liko mtaani sasa

Toleo la mwanzo la gazeti la KWANZA JAMII
TAHARIRI: HUU NDIO MSIMAMO WETUNDUGU Msomaji, siku ya Machi 31, 2009 , Tanzania kama nchi imeendelea kufurahia uhuru wa kutoa maoni kwa njia ya vyombo vyahabari. Hii ni kwa kuwa na gazeti jipya na huru la ‘Kwanza Jamii’.Hivyo basi, unalolisoma sasa kwa mara ya kwanza ni gazeti la ‘ KwanzaJamii’. Kama ilivyo kwa jina lake, ni gazeti la jamii, ni gazeti lako.
kwa habari zaidi nenda
http://mjengwa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad