HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 10, 2009

kariakoo mchana wa leo

kariakoo inazidi kunawili tu siku hadi hadi siku,si mnaona wenyewe vitu vinavyoporomoshwa?
vitu vingine vipya ambavyo bado havijamalizika,ndani ya mitaa ya kariakoo
kitu kingine hicho katika mtaa wa msimbazi
mijengo yazidi kuporomoshwa kwa spidi ya ajabu maeneo ya kariakoo,hapa ni mmakutano ya mtaa wa udowe na swahili strit mchana wa leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad