hii yote ni kutokana na kuamriwa kuondoka kwa watu woote waliopo katika majengo marefu hapa mjini,na kama mjuavyo njia zetu zilivyo wakati watu woote wanapokuwa wanatoka mjini kuelekea katika makazi yao.picha zaidi za tukio lililotokea huko Mbagala zitawajia muda wowote toka sasa.
Wednesday, April 29, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment