Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Jaji Eusebia Nicholas Munuo kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania kufuatia kuondoka kwa Jaji Mkuu wa Tanzania Augustino Ramadhani ambae yupo Nje ya Nchi kikazi. Katikati ni Katibu Mkuu Utumishi George Yambesi
No comments:
Post a Comment