HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 17, 2009

WanaFotoBaraza Wakutana Laivu

micwanakijiji wa kijiji cha jirani,FotoBaraza.Net,leo wamemkabisha mwanakijiji mwenzao Young (mwenye shati la bluu) aliewasili hapa bongo siku za hivi karibuni kutoka kule kwa bibi,wengine toka shoto ni Jr mimi,Babukadja (mwanzilishi wa FotoBaraza),Maingu,Godluck pamoja na Rt.hii inapendeza sana kwani ni mitandao michache sana inafanya vitu kama hivi.Bigi apu sana FotoBaraza.Net kwa kuendeleza libeneke kama hili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad