Kundi la TMK Wanaume halisi linaloongozwa na Juma Nature wakilishambulia jukwaa vilivyo ndani ya tamasha la fiesta jirambe 2008,Yatch Club jijini Mwanaza
Mdada akitabasamu baada ya kuzawadiwa kifurushi cha Zain na mtangazaji wa Clouds FM B 12 kwenye tamasha la fiesta jirambe.Zain walitoa vifurishi hivyo kadhaa kwa wapenzi na washabiki waliofika kwenye tamasha hilo lililofana
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika tamasha la fiesta jirambe liliofanyika ndani ya Yatch Club mwishoni mwa wiki hii ndani ya jiji la Mwanza.
Wasanii wa THT wakionesha umahiri wao wa kuyarudi mangoma mbele ya wakazi wa Mwanza waliofika ndani ya Yatch Club kwenye tamasha la fiesta jirambe 2008
Ilikuwa ni kujiramba kwa nafasi kabisa,baadhi yao waliokunwa na wasanii stejini walinyoosha mikono hewani kuashiria wanajiramba kwenye mstari mmoja.kwa picha zaidi zama katika wanja hili michuzijr.blogspot.com
No comments:
Post a Comment