CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM KIMEFUNGWA KWA MUDA USIOJULIKANA KUANZIA LEO MCHANA.
WANAFUNZI WAMEPEWA HADI SAA 12 JIONI LEO WAWE WAMENDOKA CHUONI HAPO KUFUATIA MGOMO WAO WA KUTOINGIA MADARASANI KWA MUDA WA SIKU TATU MFULULIZO WAKIDAI HAKI SAWA KWA WOTE KATIKA KUPEWA MIKOPO KWA AJILI YA KUJIKIMU NA KUJIENDELEZA KIMASOMO.
HABARI NDIO HIYOOO!!!
No comments:
Post a Comment