HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 28, 2008

Wanahabari Waandamana Kupinga Kufungiwa Kwa Gazeti La MwanaHalisi

Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari wakiwa kwenye jengo la Wizara ya habari,Utamaduni na Michezo baada kufanya maandamano leo asubuhi kuanzia mtaa wa Lugoda jijini Dar na kufikia wizarani hapo kwa Mh George Mkuchika na kuacha barua iliobeba ujumbe mzito,huku wakiwa wamefunga midomo yao na plasta kupinga kitendo cha Serikali kulifungia kwa muda wa miezi mitatu gazeti la Mwana halisi na pia kuishinikiza irekebishe sheria ya uhuru wa vyombo vya habari ya mwaka 1976.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad