HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 29, 2008

Libeneke La MV.Kigamboni


pantoni ya Mv.Alina ikiwa imekula nyomi la nguvu mara baada ya pantoni ya Mv.Kigamboni kushindwa kufanya kazi kutokana na muongozaji wa pantoni hiyo kutaka kuonyesha manjonjo yake ya kuliendesha hadi nchi kavu.habari ndio hiyo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad