HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 26, 2008

Kondakta Wa Daladala Apata Kichapo Cha Nguvu Toka Kwa Wanafunzi

Kondakta wa daladala moja lifanyalo safari zake kati ya Mwenge - Posta,jana alijikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kupokea kichapo cha nguvu toka kwa vijana ambao walibainika kuwa ni wanafunzi wa shule fulani hivi hapa bongo waliokuwa wakitokea pale New World Sinema ambako kuna matamasha kibao yanaendelea.ugomvi huo ulitokea wakati kondakta huyo alipokuwa akichukua nauli zake toka kwa abiria wake na alipofikia kwa mmoja wa hawa vijana alishangaa alipoona anatoa sh.100 na huku akiwa amekalia siti na alipotaka atoe sh.300 alikataa na alipofika kwa mwingine hali ilikuwa hivyohivyo na hapo ndipo masumbwi yalipoaanza.
hii imekaaje wadau?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad