HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 1, 2008

Eid Mubaraaq

NACHUKUA FURSA HII KUTOA MKONO WA IDDI KWA WADAU WOTE WA BLOG HII POPOTE WALIPO DUNIANI.

PIA NATOA HONGERA KWA WADAU WOTE WALIOFUNGA KATIKA KIPINDI CHOTE CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI. NAWATAKIA KILA LA KHERI WOTE WATAOENDELEA KUFUNGA SITA BAADA YA SIKU YA LEO
VILE VILE NAWAOMBA WADAU WOTE TUZINGATIE MAFUNDISHO YA VIONGOZI WETU WA DINI KWAMBA MEMA YOTE YALIYOADHIMISHWA WAKATI WA FUNGA YAENDELEZWE HATA KATIKA MUDA AMBAO SIO WA RAMADHANI. TUJIEPUSHE PIA NA MAMBO AMBAYO ALLAH SUBBHANA WATAALLAH ANAYAKATAZA WAKATI WA KUSHEREHEKEA SIKU HII KUU YA EID EL FITR.

WABILLAHI TAWFIQ

-MICHUZI JNR


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad