HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 16, 2008

Zimbabwe Sasa Mambo Mseto

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe(Kushoto) akibadilishana Hati Mapatano Maalum ya kuunda Serikali ya Mseto na Kiongozi Mkuu wa Chama cha Upinzani nchini Zimbabwe cha MDC Morgan Tsvangirai nchin Zimbabwe Jana.Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika(AU)Rais Jakaya Mrisho Kikwete(Katikati) pamoja na Mfalme Mswati III wakishuhudia Mpatanishi wa Mgogoro wa Zimbabwe Rais wa South Afrika Thabo Mbeki akimpongeza Kiongozi Mkuu wa chama cha Upinzani nchini Zimbabwe cha MDC Morgan Tsvangirai muda mfupi baada ya kufikia muafaka wa kuundwa Kwa Serikali ya Mseto nchini Zimbabwe jana..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad