HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 13, 2008

Wana Habari Wapata Ajali

Athumani Hamisi akihamishwa wodi jana jioni 12-9-08. Athumani aliyepata ajali asubuhi leo amelazwa katika wodi ya Sewahaji 17 wakati mipango ya kumhamishia katika wodi Maalum inafanyika. Madaktari wanafanya kila jitihada kumhudumia mpiganaji huyu ambaye hadi mida ya saa mbili usiku alikuwa anaweza kuongea na hata uji aliweza kunywa kwa kusaidiwa. analalamika kuwa na maumivu makali shingoni na utosini.
Gari ambalo alikuwa akisafiria Athumani Hamisi, Hery Makange na Anthony Siame namba T 961 AGT baada ya kupata ajali.picha hizi ni kwa hisani ya mrokim.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad