siku mbili hizi jijini kumekuwa na uhaba kidogo wa maji kiasi kwamba inatubidi tununue kwa hawa jamaa,ambao wanauza dumu moja la maji kwa kiasi cha sh.500/= hadi sh.600/=.hali hii ikiendelea sijui itakuwaje??
No comments:
Post a Comment