nipo na mdau mkuubwa wa kijiji hiki na pia kijiji cha jirani cha FotoBaraza ndugu Emmanuel Maingu,nilipomuibukia kijiweni kwake (kazini kwake) wikiendi hii,pia anasema anawatakiwa waislam wote popote walipo ndani ya dunia hii,sikukuu njema ya idd el fitr inayotazamiwa kuwa kesho,inategemeana na muandamo wa mwezi.
No comments:
Post a Comment