
Josee Chamelione toka Uganda akiwa jukwaani kwenye siku ya miss Tanzania 2008,Josee atakuwepo ndani ya tamasha la Fiesta 2008 ambalo safari hii inaanzia octoba nne ndani ya uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga.
Tamasha hilo linalodhamiwa na kinywaji cha Kilimanjaro Premium Lager kauli mbiu yake ni
FIESTA JIRAMBE,mbali ya msanii huyo pia atakuwepo Nyota Ndogo kutoka Kenya,Mangwea,Ay,Wanaume Halisi,Wanaume TMK family,Marlow,Mwasiti,Dully Sykes,Mwana FA, Chid Benz wa La familia,Prof Jay,Ray C na wengineo kibao.

Hivi ni vikolombwezo vya fiesta full kujiramba, huku ukiwa umetinga jinzi yako na fulanaz halafu lips zako zifanye zisikauke mara kwa mara kwa kujiramba,yote hiyo ukiwa ndani ya fiesta ni full kujiramba tu
No comments:
Post a Comment