Chiriti hivi karibuni alikuwa mapumzikoni nyumbani Tanzania baada ya kuchanga karata kwa sana huko ughaibuni ambako kwa sasa ndio anakoishi, kati ya mambo aliyoyafanya ni kutembelea kituo hiki cha watoto Yatima cha Makalala huko Iringa, ikiwa ni jitihada za kuwatunza na kuwaenzi watoto ambao wamepoteza wazazi wao kwanjia moja au nyingine, Chibiriti hakuishia hapo tuu bali amewafungulia Blog watoto hawa nia ikiwa ni ku “Creat Awareness” kwa jamii popote ilipo kusaidia kwa hali au mali watoto hawa ambao wanahitaji faraja na kuishi kwa upendo kama watoto wengine, mtembelee www.makalala-chibiriti.blogspot.com. kwa habari zaidi.
Sunday, September 14, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment