HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 5, 2008

BALOZI YOUSEIF WA PALESTINA AMALIZA MUDA WAKE NCHINI

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK AMANI ABEID KARUME, AKIZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI TANZANIA MH. YOUSEIF TALAL HABBAB ALIYEFIKA IKULU MJINI ZANZIBAR KUMUAGA RAIS KWA KUMALIZA MUDA WAKE WA KAZI NCHINI.
RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK AMANI ABEID KARUME,AKIPEANA MIKONO NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI TANZANIA MHE YOUSEIF TALAL HABBAB ALIYEFIKA IKULU MJINI ZANZIBAR KUMUAGA RAIS KWA KUMALIZA MUDA WAKE WA KAZI NCHINI.PICHA NI KWA HISANI YA RAMADHAN OTHMAN IKULU/ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad