wananchi wa kijiji cha jamii Fotobaraza wakutana laivu pale kijiji cha makumbusho leo,wakwanza toka shoto ni Mkwaya,Ritha,Ekonjo,Maingu,Angel,Babukadja ambaye ndiye mwanzilishi wa kijiji hicho cha jamii akiwa amenipiga konozz mie.na waliokaa toka shoto ni Chaoga,Vicky na Mama mlezi wa kijiji cha jamii.
Saturday, August 2, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh, raha ilioje!
ReplyDeleteLeila