HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 7, 2008

Shaggy Atiatimu Bongo Kwa Mara Nyingine

mwanamuziki Shaggy kutoka nchini Marekani akiwasili hoteli ya kilimanjaro kempinski mara baada ya kutia timu kwa mara nyingine jijini Bongo jioni hii tayari kwa shoo mojaitakayofanyika kesho ndani ya viwanja leaders club.
watangazaji wa redio Clouds 88.4 fm wakimswaliaka maswali mawili matatu Shaggy mara baada ta kutua uwanja wa ndege wa air port leo katikati ni Mkurugenzi wa Prime Time Promotions na Clouds.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad