Mama Salma Kikwete akiwasalimia wageni mbalimbali waliohudhuria katika mkutano wa kuhamasisha kampeni ya Polio,utoaji dawa za minyoo na surua,iliyofanyika jana katika hotel ya MovenPick.Kulia kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Wilson Mukama na kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Kinga,Dr Donald Mmbando.
No comments:
Post a Comment