Fid: Inaitwa “DARWIN’S NIGHTMARE”, hili jina lilitumiwa na mtu mmoja ambaye ilifanya documentary iliyofanywa na mtu akaelezea mambo ya Mwanza kuhusu samaki n.k ilileta gumzo sana, Mtu akisema “Darwins nightmare” utajua tu ni kuhusu Mwanza, na nataka kuelimisha watu zaidi.maana katika nyimbo ya Mwanza Mwanza sikuelezea kuhusu Mwanza , nilitaka kujitambulisha tu mimi ni nani, nimetoka wapi na itikadi zangu ni hizi. Maana kuna baadhi ya watu walipata fursa ya kusikia hiyo nyimbo hawakunielewa kwamba walitegemea wangekuta mambo ya samaki ndani ya nyimbo hiyo,lakini kwa upande wangu haikuwa hivyo,Vile vile Kwenye traki hii(mwanza mwanza) nilijaribu kumkumbuka mtu muhimu sana katika maisha yangu ya muziki marehemu mtoto wa Dandu,kama umewahi kusikia, wakati nyimbo inaanza hivi “nilianza rap kabla mtoto wa Dandu hajafa” God bless his soul.
Yupo katika safari ya kuleta mabadiliko ya mtazamo wa hip hop kwa watu wa rika zote. Uwe kijana wa jana, leo hata kesho kwa Tanzania na Nchi zingine pia. “Safari ilianza Mwanza hadi Dar es salaam, ikapita Tanzania nzima na sasa Afrika mashariki na bado tuna lengo la kupeleka nchi za mbaaali zaidi, hatimaye siku tutakuja sema ndoto zimetimia”.
Dereva wa safari yetu hii, ya kuitangaza Nchi hii, na kuleta mabadiliko ya kizazi hiki, kwa manufaa yetu sisi, si mwingine zaidi ya Fid Q, ambaye pia anajulikana kama “Mwanza Mwanza”. Unanipata hapo?
Je, ulijua kwamba FID Q hutoa lecture katika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam?
Akiongea kwa uwazi kabisa kuhusu Maisha yake, Marehemu James Dandu, rafiki yake T.I.D, Darwin's Nightmare (Mwanza Mwanza part II)..........FID Q is one deep conscious hip hop artist! He practises what he preaches.
Karibu usome interview;
http://www.defunkadelic.com/index.php?option=com_content&task=view&id=157&Itemid=48
Tafadhali, saidia kusambaza ujumbe.........

No comments:
Post a Comment