vyumba vinavyotumika na akina dada makahaba (machangudoa) vikiwa vitupu kabisa baada ya kamanda kova kuwaibukia saa 8 za usiku huko uwanja wa fisi,hapa kama vinavyoenekana leo mchana kukiwa shwari kabisa.picha na mdau Chaoga.
No comments:
Post a Comment