Napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba radhi wasomaji wa Spoti na Starehe kwani kumekuwa na rabsha za kutoonekana hewani kwa takriban siku tano sasa hata baada ya kubadili anuani tena, Hii ni kwa sababu zilizonje ya uwezo wetu na sasa mambo yako sawa na Spoti na starehe inapatikana kwenye Anuani hii http://spotistarehe.wordpress.comPia tunapokea picha na habari za matukio ya burudani, michezo na hata Starehe.Mwakaribishwa. Pius
Wednesday, July 16, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante kwa support kaka
ReplyDeleteSpoti na Starehe
tuko pamoja mkuu
ReplyDelete