HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 31, 2008

Kitabu Kipya Kinachoelezea Maisha Sen.Obama

"Watanzania wengi wana kiu ya kutaka kujua zaidi juu ya mtu huyu Barack Obama. Huo ni mchango wangu. Ni baada ya kusoma vitabu viwili vya Obama; Dreams From My Father na The Audesity Of Hope."hayo si maneno yangu,bali ni ya kaka Maggid Mjengwa ambaye ndiye mtunzi wa kitabu hiki na anakwambi kwa sasa kinapatikana mtaani kwa kiasi cha buku jero (1,500) tu.mnaweza kuwasiliana nae kupitia email hii mjengwamaggid@gmail.com kwa wale ambao watakuwa wanahitaji kitabu hiki na wako mbali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad