mamiss wakijiandaa kwenda kambini bagamoyo leo
Hashim Lundenga akiwa na meneja wa udhamini wa vodacom Emillian Rwejuna (mwenye suti), mkuu wa itifaki Albert Makoye (nyuma shoto) na maafisa masoko wa voda leo wakati wa kutangaza kuanza kambi rasmi ya miss tz huko bagamoyo.
miss tz 2008 imepangwa kufanyika agosti 2 katika ukumbi ambao bado haujatangazwa rasmi mpaka hivi sasa,na kwa mujibu wa meneja wa udhamini wa vodacom, Emillian Rwejuna, mshindi wa kwanza atapata gari pamoja na shilingi milioni nane na laki nane, wa pili atavuta milioni sita wakati wa tatu ataondoka na milioni tatu na laki nane, wa nne milioni mbili na laki saba na wa tano atakunywa milioni mbili na laki mbili.kwa mapicha zaidi zama katika wanja hili http://www.michuzi-blog.com/
No comments:
Post a Comment