HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 16, 2008

Hali Hii Mnaionaje Wadau?

jamaa wanaohusika na maswala mazima ya parking hapa mjini al maarufu kama city,leo nimewakuta wakiliburuta hili benz macho ya panzi ambalo lilikuwa limepaki sehemu isiyo ruhusiwa,na chini jamaa wakiisukuma break down mara baada ya kukata moto ghafla.je ingekuwa vipi iwapo kama wewe ndio ungekuwa mmiliki wa hiyo ndinga inayoburutwa hapo,halafu katika harakati za kuhangaikia kwenda kulitoa unawakuta hawa jamaa nao wako katika hali hii ya kulisukuma ndinga lao,ungefanyeje?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad